Waziri
wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akiwasilisha Bajeti ya Wizara
yake kwa mwaka wa Fedha 2016/2017, Bungeni Mjini Dodoma leo
Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, (Kulia) akifurahia
jambo na Mbunge wa Viti Maalumu kutoka Zanzibar, Tauhida Cassian Galoss
Nyimbo, mara baada ya kuwasilishwa kwa Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo
kwa mwaka wa fedha 2016/2017 mjini Dodoma leo.
Waziri
wa Fedha na MIpango, Dkt. Philip Mpango (kushoto) na Naibu Waziri wake
Dkt. Ashatu Kijaji, wakiwa makini kuandika hoja mbalimbali za wabunge
wakati wakichangia Bajeti ya Wizara hiyo Bungeni Mjini Dodoma leo.
0 maoni:
Chapisha Maoni