Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanachama cha
Mapinduzi CCM Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Kichama, wakati alipokua
akiwapongeza wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio
uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,mkutano ulifanyika leo katika
ukumbi wa CCM Mkoa Amani,[Picha na Ikulu.] 01/06/2016.

Wanachama
cha Mapinduzi wa Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Kichama,wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,wakati alipokua
akiwapongeza wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio
uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,katika mkutano ulifanyika leo
katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani,[Picha na Ikulu.] 01/06/2016.
Katibu
wa CCM Wilaya ya Mjini Kichana Bi,Fatuma Shomari Juma alipokuwa akisoma
risala ya Chama Wilaya ya Mjini Kichama wakati wa mkutano wa
kuwashukuru na kuwapongeza wanachama cha Mapinduzi Wilaya hiyo
uliofanywa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,katika
ukumbi wa CCM Mkoa Amani, [Picha na Ikulu.] 01/06/2016
Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Mjini Kichama Bw. Juma Fakih Choum akiwasalimia
wanachama cha mapinduzi waialaya hiyo wakati wa mkutano wa kuwashukuru
na kuwapongeza wanachama cha Mapinduzi Wilaya hiyo uliofanyika leo
katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali
Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.] 01/06/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM
Wilaya ya Mjini Kichama Bw. Juma Fakih Choum wakati wa mkutano wa
kuwashukuru na kuwapongeza wanachama cha Mapinduzi Wilaya hiyo
uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani, [Picha na Ikulu.]
01/06/2016.
Mwanachama
cha Mapinduzi wa Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Kichama Bi.Rukia Omar
kutoka jimbo la Kikwajuni alipokuwa akitoa mchango wake wakati Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,alipowapongeza na kuwashukuru
Wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa
Machi mwaka huu,katika mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa
Amani,[Picha na Ikulu.] 01/06/2016.
Mwanachama
cha Mapinduzi wa umoja wa Vijana UVCCM Ashrak Saleh Zingo katika shehia
ya kiponda mji Mkongwe wa Zanzibar alipokuwa akitoa mchango wake
uliogusia zaidi uvunywaji wa katiba ya Zanzibar unaofanywa na Wanachama
cha Upinzania,mchango huo aliuotoa leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani
wakati wa Mkutano wa Kuwashukuru Viongozi wa Mashina,wenyeviyi wa Matawi
na Maskani uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,
[Picha na Ikulu.] 01/06/2016.
Wanachama
cha Mapinduzi wa Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Kichama,wakinyoosha
mikono juu kuunga mkono hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali
Mohamed Shein,wakati alipokua akiwashukuru kuwapongeza wanachama hao
baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka
huu,katika mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani,[Picha
na Ikulu.] 01/06/2016.
0 maoni:
Chapisha Maoni