Jumanne, 7 Juni 2016

DC KASESELA AKUTANA NA KIONGOZI WA JUMUIYA YA WAISLAMU WAAHMADIYA



Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akipokea kitabu cha Quran Tukufu kutoka kwa kiongozi wa jumuiya ya kiislam.



 Dc akipeana mkono na  kiongozi wa jumuiya ya kiislam




 Kasesela akifanya mazungumzo na kiongozi wa jumuiya ya kislam.
 
Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela alikutana na kiongozi wa jumuiya ya Waislamu Waahmadiya ambao waliendesha kongamano la amani.

DC alimshukuru kiongozi  wa jumuiya hiyo mkoani Iringa kwa kuhamassisha kuishi kwa amani . 

 Swala la kuvumiliana " religious and political torelence" Kila mmoja wetu anayo nafasi katika kuhakikisha amani inapatikana toka nyumbani kwake hadi kwenye taifa.
 
Kasesela aliwatakia mfungo mwema kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani waislamu wote  nchini na kusema kuwa kila mmoja katika mfungo wake anatakiwa kuiombea nchi amani pamoja na kuwaombea viongozi wa swerikali na jamii kwa ujumla.


JUMUIYA HII INA MSEMO ' LOVE FOR ALL HATRED FOR NONE" MAPENZI KWA WOTE CHUKI SI KWA YOYOTE.

0 maoni:

Chapisha Maoni