Watu 12
wameuawa katika milipuko miwili ya mabomu viungani mwa mji wa Damascus,
katika eneo la madhabahu muhimu ya Waislamu wa madhehebu ya Shia.
Image copyrightREUTERSImage captionShambulio la Damascus
Shirika la habari la kitaifa linasema mlipuko mmoja umetekelezwa na mshambuliaji wa kujitolea muhanga.
Image copyrightREUTERSImage captionDamascus
Mlipuko wa pili umetokana na bomu lililotegwa ndani ya gari.
Image copyrightAFPImage captionDamascus
Watu wawili wameuawa karibu na madhabahu ya Sayyeda Zeinab yanayoheshimiwa na Washia kote ulimwenguni.
Image copyrightAPImage captionDamascus
Eneo hilo limekuwa likilengwa kwa mabomu na wapiganaji wa Islamic State.
|
0 maoni:
Chapisha Maoni