Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya
Nachunyu kwenye mkutano maalum wa kuwasha umeme kijijini hapo ambapo
aliwaambia wananchi hao kuwa kila jambo aliloliahidi litakamilika
mapema.
Wakazi wa kijiji cha Nachunyu jimbo la Mtama wakiwa wamejitokeza kwa
wingi kushuhudia uwashaji wa umeme kijijini hapo uliofanywa na Mbunge wa
Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye.
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikata utepe kuashiria uwashaji wa umeme
katika kata ya Nachunyu.
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) akifungua kitambaa kama
ishala ya uwashaji wa umeme katikakata ya Nachunyu.
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwasha taa kuashilia kuwashwa
umeme katika kata ya Nachunyu.
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na wananchi wa
Nachunyu mara baada ya kuwasha umeme katika kata ya Nachunyu.
0 maoni:
Chapisha Maoni