Mchuuzi wa samaki akiwa katika harakati za kutafuta wateja wakuwauzia samaki maeneo ya Posta jijini Dar es Salaam .
Mchuuzi wa samaki akimuuzia samaki mteja pembezoni mwa barabara ya Azikiwe Posta mpya jijini Dar es Salaam.
Mkazi
wa jiji la Dar es Salaa akipita jirani na Chemba inayotiririsha maji
taka katika kituo cha daladala cha zamani mwenge jijini Dar es Salaam
imekuwa kero ya muda mrefu kwa wakazi wa eneo hilo na wafanyabiashara
kutokana na chemba hilo kutoa harufu mbaya.
Takataka
zilizorundikana katika machinjio ya kuku katika Soko la vyakula Kisutu
jijini ambazo huchelewa kuzolewa na kupelekea kutoa harufu mbaya na
wadudu ambao imekuwa kero kwa wafanyabiashara na watumiaji wa Machinjio
hayo.
0 maoni:
Chapisha Maoni