Balozi
wa Tanzania Nchini Nigeria Balozi Daniel Ole Njolaay akikabidhi hundi
ya dola 2000 za Kimarekani sawa na kiasi cha zaidi ya shilingi milioni
nne Mh. Dk Angelina Mabula Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya
Makazi kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Rais Dk. John Pombe Magufuli
katika kuhakikisha shule za msingi zinakuwa na madawati ya kutosha hapa
nchini, Hafla hiyo ilifanyika kwenye ubalozi wa Tanzania jijini Abuja
nchini Nigeria mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa Maendeleo ya
Makazi jijini humo.
Mh.
Dk Angelina Mabula Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya
Makaziakizungumza katika hafla hiyo huku Balozi Daniel Ole Njolaay
akimsikiliza.
0 maoni:
Chapisha Maoni