Naibu
Waziri Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa
kwanza kulia akiongea na wasanii wa kikundi cha sanaa na utamaduni cha
Albino Revolution Troup kutoka Wilayani Temeke walipomtembelea ofisini
kwake kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili walemavu katika
kutekeleza majukumu yao ya kisanaa, kulia kwa naibu waziri ni Mkurugenzi
wa kikundi hicho Bw. Titto Mtanga.
Mkurugenzi
wa kikundi chaAlbino Revolution Troup kutoka Wilaya ya Temeke Bw. Titto
Mtanga wa kwanza kushoto akiongea na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo wakati kikundi hicho kilipomtembelea Mh. Wambura
ofisini kwake kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili walemavu
katika kutekeleza majukumu yao ya kisanaa.
Naibu
Waziri Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa
kwanza kulia akipokea moja ya kazi ya Kikundi cha Albino Revolution
Culture Troup kutoka kwa Mkurugenzi wa kikundi hicho Bw. Titto Mtanga
wakati walipomtembelea Mh. Wambura ofisini kwake kuzungumzia changamoto
mbalimbali zinazowakabili walemavu katika kutekeleza majukumu yao ya
kisanaa.
(Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).
0 maoni:
Chapisha Maoni