|
Kamishna Msaidizi wa jeshi la polisi Tanzania Mkadam
Khamis Mkadam,ambaye ni Kamanda wa Polisi mkoa wa mjini Magharibi,
Unguja, akimkabidhi Bi.Fauzia Mohamed Hassan mkaazi wa Fuoni zawadi
kutoka Tigo katika maadhimisho ya Karume dTigo waadhimisha siku ya
Karume day na wateja wake, katika ofisi za Tigo Unguja, Zanzibar.
|
0 maoni:
Chapisha Maoni