Jumanne, 19 Aprili 2016

RAIS WA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA[TEC]AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA KATOLIKI KILOLO





Kamanti ya ujenzi wa kanisa katoliki kilolo ikisoma Risala kwa mgeni rasmi

Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kassela akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Iringa katika harambee ya kuchangia  ujenzi wa kanisa



Mbunge wa kilolo[ccm]Venas Mwamoto akiwashukuru wananchi waliojitokeza kuchangia ujenzi wa kanisa katika harambee iliyofanyika katika ukumbi wa Askofu Mario Mgulunde parokia ya Kihesa


Meya wa Manispaa ya Iringa Alex Kimbe akiwapungiamikono wananchi waliohudhuria harambee  ya ujenzi wa kanisa

Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa wa Jimbo Katoliki la Iringa, ambaye pia ni Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) akimkabidhi picha yake Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard kasesela (kulia) baada ya kushinda mnadi wa ununuzi wa picha hiyo wakati harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa katika Parokia ya Kilolo jana. 



Timu ya mpira baina ya mapadre wa jimbo katoliki la Iringa na wabunge baadhi yao wakiongozwa na mbunge wa kilolo kama wanavyoonekana waliingia uwanjani kila mmoja akionyesha ubabe wake,ambapo timu ya mapadre iliibika kidedea kwa kufunga goli moja bila. 

0 maoni:

Chapisha Maoni