Jumamosi, 9 Aprili 2016

MWANAMUZIKI NDANDA KOSOVO AFARIKI DUNIA



Taarifa za hivi punde zinasema  Mwanamuziki mkongwe aliyewahi kujizolea sifa kem kem katika miondoko ya dansi hapa  nchini wakati akiwa na bendi ya FM miaka ya nyuma kabla ya kujiengua na kuunda kundi lake lililojulikana kwa jina la Stono Musica Ndanda Kosovo amefariki katika Hosptali ya Mwananyamala Jijini Dar Es Salaam.
taarifa zaidi tutakuletea.

0 maoni:

Chapisha Maoni