Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),
Mhe. George Simbachawene (kulia) akiongea na Mama Graca Machel
(kushoto) alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),
Mhe. George Simbachawene akiongea na Mama Graca Machel (hayupo pichani)
alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam.
Mama
Graca Machel akiongea na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. George Simbachawene (hayupo
pichani) alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),
Mhe. George Simbachawene (kulia) akiteta jambo na Mama Graca Machel
(kushoto) mara baada ya mazungumzo ofisini kwake leo jijini Dar es
salaam.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),
Mhe. George Simbachawene (kulia) akiagana na Mama Graca Machel
(kushoto) mara baada ya mazungumzo ofisini kwake leo jijini Dar es
salaam.
(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)
0 maoni:
Chapisha Maoni