Mjukuu wa Rais wa Kwanza wa
Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Ahmed Amani Abeid Karume
akichukua shada la mauwa kwaniaba ya wenzake kuliweka katika kaburi
baada ya kumalizika kisomo cha Hitma na dua ya kumuombea Marehemu Babu
yao, iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) Makamo wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan,
akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,John Pombe
Magufuli,(wa pili kulia) pamoja na Viongozi mbali mbali wakiitikia dua
iliyoombwa baada hitma na uwekaji wa mashada ya mauwa leo katika kaburi
la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume pembeni
kwa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar alipozikwa,[Picha na
Ikulu.]
Viongozi mbali mbali wakiitikia dua
iliyoombwa baada hitma na uwekaji wa mashada ya mauwa leo katika kaburi
la Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume pembeni
kwa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar alipozikwa,[Picha na
Ikulu.]
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanawema
Shein (kushoto) Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume,Mke
wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Shadya Karume,Mke wa Makamo wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi pamoja wake wa Viongozi
wakiitikia dua iliyoombwa baada hitma na uwekaji wa mashada ya mauwa
leo katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid
Amani Karume pembeni kwa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar
alipozikwa,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akifuatana na wasaidizi wake akitoka
eneo la kaburi la Marehemu Mzee Abeid Amani Karume liliopo nje ya Jengo
la Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar baada ya kumalizika hafla
ya dua na uwekaji wa mashada ya mauwa iliyofanyika leo,na kuhudhuriwa
na Viongozi mbali mbali,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono
viongozi na wananchi walihudhuria katika hitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliyofanyika leo baada
ya kumalizika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar na
uwekaji wa mashada ya mauwa ambapo Viongozi na Wananchi mbali mbali walihudhuria,[Picha na Ikulu.]
Wake wa Viongozi wakiwa nje ya Ofisi
Kuu wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar baada ya kumalizika kwa hitma ya
kumuombea dua Rais wa kwaanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeeid Amani
Karume iliyofanyika leo,[Picha na Ikulu.]






0 maoni:
Chapisha Maoni