Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akijiandaa kuweka Shada
la Maua kwenye Kaburi la Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar na Muasisi ASP Hayati Sheikh Abeid Amani Karume wakati wa Dua
maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Muasisi huyo inayoadhimishwa kila mwaka
ifikapo April 07, Kisiwandui Zanzibar, ambapo Makamu wa Rais
amemusakilisha Rais John Magufuli.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wa pili kulia, Rais wa
Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kulia na Viongozi mbalimbali wakiwa
kwenye Dua ya pamoja mbele ya Kaburi la Rais wa kwanza wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar na Muasisi ASP Hayati Sheikh Abeid Amani Karume
wakati wa Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Muasisi huyo
inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo April 07, Kisiwandui Zanzibar,Makamu
wa Rais amemuwakilisha Rais John Magufuli.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa akisalimiana na
Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mh. Amani Abeid Karume
mara baada ya Dua kufanyika.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wa pili kulia Mama
Mwanamwema Shein kulia Mama Asha Ali Iddi wa pili kushoto na Mama Zakia
Bilal kushoto, wakiwa katika Dua ya pamoja kwa ajili ya kumuombea Rais
wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Muasisi ASP Hayati Sheikh
Abeid Amani Karume wakati wa Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha
Muasisi huyo inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo April 07, Kisiwandui
Zanzibar, Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais John Magufuli.






0 maoni:
Chapisha Maoni