Waziri Mkuu, KassimMajaliwa
akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Namahema
wilayani Ruangwa kuhutubia mkutano wa hadhara Aprili 10, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mmoja wa wananchi wa kijiji cha
Namahema wilayani Ruangwa (jina halikupatikana) akimsikiliza Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa wakati aipohutubia mkutano wa hadhara kijijini
hapo, Aprili 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Namahema wilayani
Ruangwa Aprili 10, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na mwendesha pikipiki maarufu na hodari, Zaina Amour wa
kijiji cha Nandagara wilayani Ruangwa Aprili 10, 2016. Alikuwa katika
ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi wakizungumza na mwendesha
pikipiki maarufu na hodari, Zaina Amour wa kijiji cha Nandagara wilayani
Ruangwa Aprili 10, 2016. Alikuwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi
la Ruangwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)






0 maoni:
Chapisha Maoni