Ijumaa, 15 Aprili 2016

Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Fionnuala Gilsenan amtembelea Waziri Mh. Angellah Kairuki


fin

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb) (kulia) akizungumza na Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Fionnuala Gilsenan alipotembelea ofisini kwake mapema leo

0 maoni:

Chapisha Maoni