Charles Mombeki ambae ni Mkurugenzi wa
Taasisi ya Kufundisha Lugha mbalimbali ikiwemo za Kitaifa na Kimataifa Jijini Mwanza ya "International Language
Training Centre" akiwa amesimama katika jengo la taasisi hiyo iliyopo Isamilo (barabara ya Mediacal Reseach) Jijini Mwanza.
Mombeki
anasema taasisi hiyo imeboresha zaidi mazingira ya kujifusia ili
kukidhi mahitaji wasomaji. Pia anaongeza kwamba taasisi hiyo imeboresha
mazingira kujifunzia kwa ajili ya Kituo chake cha Elimu ya Makuzi kwa
Watoto Wadogo (Day Care Centre) ambapo anawasihi wananchi kutembelea
taasisi hiyo ili kunufaika na fursa iliyopo hivi sasa kabla haijafikia
ukomo.
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Kufundisha Lugha mbalimbali ikiwemo za Kitaifa na
Kimataifa Jijini Mwanza ya "International Language Training Centre"
akitoa ufafanuzi kwa wanaohitaji kusoma katika taasisi yake. Pembeni ni
eneo rafiki kwa ajili ya mapumziko mafupi baada ya masomo au majadiliano
baada ya masomo.
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Kufundisha Lugha mbalimbali ikiwemo za Kitaifa na
Kimataifa Jijini Mwanza ya "International Language Training Centre"
akionyesha baadhi ya maeneo kwa ajili ya michezo ya watoto.
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Kufundisha Lugha mbalimbali ikiwemo za Kitaifa na
Kimataifa Jijini Mwanza ya "International Language Training Centre"
akionyesha baadhi ya maeneo kwa ajili ya michezo ya watoto.
Wasiliana na International Language Training Centre kwa nambari 0784 66 49 33 au 0754 66

0 maoni:
Chapisha Maoni