Alhamisi, 1 Septemba 2016

MBUNGE WA DODOMA MJINI ANTHONY MAVUNDE ATIIMIIZA AHADI YAKE KWA WANANCHI

Postedy by Esta Malibiche on Sept 1.2016 in News

Mhe.Anthon Mavunde akikabidhi cement kwa ajili ya ujenzi wa soko jipya iki ni moja ya ahadi yake.



DODOMA
Mbunge wa dodoma mjini [CCM]Mhe.Anthony Mavunde amekabidhi vifaa mbalimbali kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa soko jipya ikiwa ni moja ya ahadi yake aliyoitoa katika kipindi cha kampeni ya uchaguzi mkuu 2015 alipokuwa akiomba ridhaa ya umbunge jimboni humo.
'''''Leo nimekabidhi bati  40,mifuko 60 ya saruji na kokoto Lorry 20 kwa ajili ya ujenzi wa soko jipya la Chang'ombe ambapo jumla ya wafanyabiashara 700 watanufaika na uwepo wa soko hili.
Niliahidi mwaka jana wakati wa kampeni na leo nimerudi kutimiza ahadi yangu''alisema

0 maoni:

Chapisha Maoni