Wafanyakazi wa Benki ya Azania
tawi la Moshi ,wakishusha Mbuzi kwa ajili ya kutoa zawadi ya siku kuu
ya Idd kwa baadhi ya wateja wake pamoja na makundi yenye mahitaji
maalumu.
Meneja wa Azania Bank tawi la
Moshi ,Hajira Mmambe akimkabidhi zawadi ya Mbuzi mwakilishi wa Mbunge wa
jimbo la Moshi mjini Jafary Michael , Bw ,Bashir Seleman wa kampuni ya
Zuhad kwa ajili ya siku kuu ya Idd.
Meneja wa Azania Bank tawi la
Moshi,Hajira Mmambe akikabidhi zawadi ya Mbuzi kwa msimamizi wa kituo
cha kulea watoto waishio kwenye mazingira magumu cha Qadria kilichopo
kata ya mji Mpya,Alhaji Taqdir Haji Amir kama sadaka ya siku kuu ya Idd.
Baadhi ya watoto wa kituo cha kulelea watoto cha Qadria kilichopo kata ya Mji Mpya.
Meneja wa Azania Bank akikabidhi zawadi ya Mbuzi kwa mteja wa Benki hiyo Aman Idd Mushi kwa ajili ya siku kuu ya Idd.
Meneja wa Azania Bank tawi la
Moshi,Hajira Mmambe pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo wakikabidhi
zawadi ya Mbuzi kwa mwakilishi wa kampuni ya Ibra line ,Bi Mosi Shayo
kwa ajili ya siku kuu ya Idd.
Meneja wa Azania Bank tawi la
Moshi,Hajira Mmambe akizungumza mara baada ya kukabidhi zaadi ya Mbuzi
kwa ajili ya siku kuu ya Idd kwa wateja wake pamoja na makundi yenye
mahitaji maalumu.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
0 maoni:
Chapisha Maoni