
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Rajab Luhwavi, akiwasalimia baadhi ya
viongozi wa CCM wa mkoa baada ya kuwasili kuanza ziara ya kikazi mkoani
Mbeya leo asubuhi. Kutoka kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Mwangwi
Kundya, Katibu wa CCM, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Lobe Zongo na Katibu
msaidizi Mkuu wa mkoa, Adallah Mayomba.
Naibu Katibu
Mkuu wa CCM, Bara Rajab Luhwai akiwa na mwenyeji wake, Katibu wa CCM
mkoa wa Mbeya, Mwangwi Kundya (kushoto), baada ya kuwasili Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Songwe kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi mkoani
Mbeya






0 maoni:
Chapisha Maoni