Jumanne, 12 Aprili 2016

Mhe. Kairuki afungua Mafunzo JUU YA Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) Dodoma

15Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb) akifungua Mafunzo juu ya Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) kwa Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania yaliyofanyika mjini Dodoma.
11Katibu Mkuu Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza wakati wa Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) kwa Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania yaliyofanyika mjini Dodoma.
14Mmoja wa washiriki wa Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) akiuliza swali wakati wa mafunzo yaliyofanyika mjini Dodoma.
13Mmoja wa washiriki wa Mafunzo hayo  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Bibi. Sipora J. Liana akiuliza swali wakati wa mafunzo yaliyofanyika mjini Dodoma.
12  Washiriki wa Mafunzo hayo  wakimsikiliza mgeni rasmi Mh. Angellah Kairuki (Mb), (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo –Dodoma.10Mkutano ukiendelea

0 maoni:

Chapisha Maoni