Jumanne, 19 Aprili 2016

Kutoka Bungeni Dodoma: Ufafanuzi huduma za hospitali zinazopandishwa hadhi


Habari kutoka Bungeni katika bunge la Bajeti la 11: Mhe. Suleiman Jafo atoa ufafanuzi na utaratibu wa serikali juu ya hospitali zinazopandishwa hadhi kukidhi haja za wananchi.

0 maoni:

Chapisha Maoni