Jumatatu, 11 Aprili 2016

JUMA DUNI HAJI AREJEA CUF



ALIYEKUWA mgombea mwenza wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chini ya mwavuli wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Juma Duni Haji amerejea chama chake cha awali, Chama cha Wananchi (CUF).

0 maoni:

Chapisha Maoni