Waziri wa Afya Maendeleo ya
Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumaza na wandishi wa
habari juu ya uzinduzi wa kapeni ya Wazee kwanza toa kipaumbele apate
huduma, leo Mkoani Morogoro kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt.
Kibwe Stephen
Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima y Afya (NHIF) Michael Mhando Akizungumaza na wazee wa Mkoa wa Morogoro leo`
Wazee wakimsikiliza Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii )






0 maoni:
Chapisha Maoni