Alhamisi, 26 Januari 2017

UNFPA YAKABIDHI MAGARI SITA NA VIFAA TIBA KWA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR

Posted by Esta Malibiche on JAN 27,2027 IN NEWS

UNIPE
Kaimu Muwakilishi Mkaazi wa UNFPA Tanzania Dkt. Hashina Begum na Waziri wa Afya wa Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo wakisaini makabidhiano ya magari manne ya kubebea wagonjwa na mawwili ya huduma yaliyotolewa na Shirika hilo katika sherehe zilizofanyika Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
 UNIPE 1
 Dkt. Hashina akimkabidhi Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo moja ya funguo za magari hayo kwenye sherehe zilizofanyika Wizarani kwake Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
 UNIPE 2
Gari nne za kubebea wagonjwa na mbili za huduma zilizotolewa msaada na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia  Idadi ya Watu Ulimwenguni (UNFPA) kwa ajili ya kutoa huduma katika Hospitali na vituo vya Afya Zanzibar zikiwa mbele ya Wizara hiyo Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
 UNIPE 3
 Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akiwa na Kaimu Muwakilishi Mkaazi wa UNFPA Dkt. Hashina Begum akilijaribu moja ya gari lilililotolewa msaada na UNFPA akwa ajili ya kuhudumia wagonjwa.
 UNIPE 4
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo na Kaimu Muwakilishi wa UNFPA Tanzania Dkt. Hashina wakinyanyua moja ya vifaa tiba vilivyotolewa na UNFPA kwa ajili ya wodi ya mama wajawazito na watoto.
Picha na Makame Mshenga/Maelezo.

0 maoni:

Chapisha Maoni