Jumanne, 17 Januari 2017

MATUKIO KATIKA PICHA; KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YATEMBELEA BANDARI YA DARES SALAAM LEO

Posted by Esta Malibiche on JAN 17,2017 IN NEWS

Kamati ya bunge ya bajeti wakiwa bandarini katika ziara yao waliyoifanya leo hii,lengo la ziara hiyo ni kujifunza mambo mbalimbali  ambayo yataisaidia Kamati hiyo

 Kamati ya bunge ya bajeti wakipokea maelezo kutoka kwa mmoja wa meneja wa bandarini katika ziara yao waliyoifanya leo hii,lengo la ziara hiyo ni kujifunza mambo mbalimbali  ambayo yataisaidia Kamati hiyo.
Mbunge wa viti maalum[CCM] mkoa wa Pwani Mh.Subira Mgalu mmoja wa wanakamati wa bunge la bajeti waliotembelea bandai leo 

0 maoni:

Chapisha Maoni