Ijumaa, 13 Januari 2017

MBUNGE WA MCHINGA MKOANI LINDI HAMIDU BOBALI ATEMBELEA SHULE YA MSINGI KILOLAMBWANI NA KUAHIDI KUWASHA UMEME KATIKA SHULE HIYO MARA IFIKAPO FEBRUARI 2017

Posted by Esta Malibiche on JAN 13,2017  in NEWS
 Mbunge wa jimbo la Mchinga Mkoani Lindi Hamidu Bobali akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya Msingi Kilolambwani iliyopo katika jimbo lake,ikiwa ni moja ya ziara yake aliyoifanya mapema leo hii

Mbunge wa jimbo la Mchinga Mkoani Lindi Hamidu Bobali [cuf] akizungumza na wanafunzi wa shule ya Msingi Kilolambwani[hawapo pichani]alipowatembelea mapema leo hii

 Mbunge wa jimbo la Mchinga Mkoani Lindi Hamidu Bobali akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya Msingi Kilolambwani iliyopo katika jimbo lake,ikiwa ni moja ya ziara yake aliyoifanya mapema leo hii
Mbunge wa jimbo la Mchinga Mkoani Lindi Hamidu Bobali akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya Msingi Kilolambwani iliyopo katika jimbo lake,ikiwa ni moja ya ziara yake aliyoifanya mapema leo hii
LINDI
 Mbunge wa Jimbo la Mchinga Mkoani Lindi Hamidu Bobali amefanya ziara mapema leo hii katika shule ya Msingi Kilolambwani  iliyopo katika jimbo la Mchinga na kuahidi  kuingiza umeme katika shule hiyo mara  ifikapo February mwaka huu.
''' Nimeahidi kuwapelekea vitabu vya masomo ya sanaa na hesabu ambavyo ni tatizo hapo shuleni na nimeahidi kutafuta walimu 3 wa kujitolea na mimi nitawalipa mshahara wa shilingi laki 2 kila mmoja''alisema Bobali

0 maoni:

Chapisha Maoni