Posted by Esta Malibiche on JAN 14,2017 in NEWS
Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi,vijana na ajira Anthony Mavunde akizungumza na vija waendesha bodaboda na wajasiliamali wa stendi ya magari Mafinga Mkoani Iringa |
MUFINDI
Naibu Waziri
ofisi ya waziri mkuu kazi vijana na ajira Anthony Mavunde amewasihi
vijana kuchangamkia fursa zilizopo,na kuwataka kufanya kazi kwa bidii ili waweze
kujikwamua kiuchumi.
Kauli
hiyo ameitoa wakati akizungumza na vijana mbalimbali waendesha bodaboda
na wajasiliamali wa eneo la stendi ya magari MjiniMafinga Mkoani Iringa,katika ziara yake
aliyoifanya hivi karibuni Mkoani Iringa.
Katika ziara yake hiyo alikagua viwanda na mashamba ya miti wilayani Mafinga
na kuzungumza na wafanyakazi,na hatimae kutatua kero zao za msingi za masuala ya
kazi.
Vijana waendesha bodaboda na wajasiliamali wakitoa kero zao na changamoto zinazowakabili kwa Naibu waziri wa Vijan na ajira Anthony Mavunde |
Naibu
waziri ofisi ya waziri mkuu kazi,vijana na ajira Anthony Mavunde
akizungumza na vija waendesha bodaboda na wajasiliamali wa stendi ya
magari Mafinga Mkoani Iringa
Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi,vijana na ajira Anthony Mavunde akizungumza na vija waendesha bodaboda na wajasiliamali wa stendi ya magari Mafinga Mkoani Iringa |
Naibu
waziri ofisi ya waziri mkuu kazi,vijana na ajira Anthony Mavunde
akizungumza na vija waendesha bodaboda na wajasiliamali wa stendi ya
magari Mafinga Mkoani Iringa
Naibu
waziri ofisi ya waziri mkuu kazi,vijana na ajira Anthony Mavunde
akizungumza na vija waendesha bodaboda na wajasiliamali wa stendi ya
magari Mafinga Mkoani Iringa
0 maoni:
Chapisha Maoni