Posted by EstaMalibiche on JAN 23,2017
Makamo wa rais wa Tanzania amesema Tanzania itaendeelea kudumisha na kuimarisha mahusiano mazuri na jamuhuri ya watu wa china: https://youtu.be/iUDEmN4fxA4
Waziri mkuu amesema serikali imetoa shilingi bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Njombe: https://youtu.be/ZMNf9HgyKBE
Uhaba
wa chakula unaowakumba baadhi ya wananchi hapa nchini umechukua sura
mpya baada ya wakazi wa mkoa wa Rukwa kudai kuwa hawana njaa ya
chakula: https://youtu.be/finpdqBqHng
Watanzania wapewa changamoto ya kuchangamkia fursa ya masomo zinazopatikana nchini Uturuki ili waweze kupata taaluma bora: https://youtu.be/kh1Q1bk_5Jg
Spika wa bunge Mh.Jobu Ndugai amepokea barua ya kujiuzulu ubunge kutoka kwa Abdallah Posi baada ya kuteuliwa kuwa balozi: https://youtu.be/FXLXvjmR_Xs
Klabu la gofu ya jeshi la ulinzi wa wananchi wa Tanzania wapo kwenye maandalizi ya maadhimisho ya miaka 10 ya klabu ya Lugalo: https://youtu.be/U4_RmCEtPp8
Timu ya Yanga imeibuka na ushindi baada ya kuitwanga timu ya Ashanti United magoli manne katika kombe la Azam Federation: https://youtu.be/J4hQYf2ne8s
Serikali
imepanga kuajiri watumishi wa kutosha katika sekta ya elimu na afya kwa
mwaka huu ili kuongeza ufanisi wa kazi katika sekta hizo; https://youtu.be/ZcTABqlAMPM
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu amesema serikali ya Tanzania itaendelea kudumisha uhusiano wake na nchi ya China; https://youtu.be/SSXe1_64uz8
Tume
ya uchaguzi NEC yawataka wananchi kujitokeza kwa wingi kuchagua
viongozi wao katika uchaguzi mdogo jimbo la Dimani Zanzibar; https://youtu.be/VU2zF-1bpcg
Jeshi la polisi mkoani Mwanza linawashikilia madaktari wawili kwa tuhuma za kuchukua fedha kwa wagonjwa kinyume na taratibu; https://youtu.be/lEjkqZSPmD8
Serikali imesema kuwa inatambua mchango wa sekta binafsi katika kukuza uchumi na kuleta maendeleo nchini; https://youtu.be/YoJozIkdd4U
Serikali
yatoa wito kwa vyombo vya ulinzi nchini kufanya doria katika mipaka
mara kwa mara katika kupambana na biashara ya madawa ya kulevya; https://youtu.be/WKP8_Dh6-48
Timu
ya Yanga yaitandika Ashanti united goli 4 kwa 1 katika mchezo wa
kuwania kombe la shirikisho uliopigwa hii leo jijini Dar es Salaam; https://youtu.be/mO82iCPnhxM
Timu
ya Polisi Dar es Salaam yatamba kuifunga Simba katika mchezo wake wa
kuwania kombe la FA utakaopigwa kesho katika dimba la Uhuru; https://youtu.be/K16KEyqEho8
0 maoni:
Chapisha Maoni