Jumamosi, 14 Januari 2017

FAINALI MAPINDUZI CUP –AMANI ZANZIBA

Posted by Esta Malibiche on JAN 14,2017 in MICHEZO

SIMO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwasalimia   wachezaji  wa Timu ya Simba   kabla mpambano wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Azam jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja.
SIMO 1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwasalimia   wachezaji  wa Timu ya Azam   kabla mpambano wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Simba jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja.
SIMO 2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na  wachezaji  wa Timu ya Azam   kabla mpambano wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Simba jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja.
SIMO 3
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na  Waamuzi wa mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Timu ya Simba na Azam jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja.
SIMO 4
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na  wachezaji  wa Timu ya Simba  kabla mpambano wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Azam jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja.
SIMO 5
 Mashabiki wa Timu ya Simba wakiwa pwaya bila kushangilia wakati Mchezo wa fainali na Timu ya Azam uliposhika kasi katika mUwanja wa Amaan Mjini Unguja jana hatimae Azam waliwabandika Simba 1-0.
SIMO 6
Mchezaji wa Azam Joseph Mahundi akimzuia Besela Bakungu-Simba katika mchezo wa fainali ya Mapinduzi Cup 2017 mpambano uliofanyika jana katika Uwanja wa Aamaan Azam iliifunga Simba 1-0.
SIMO 7
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwavalisha nishani wachezaji wa Timu ya Simba  wakiwa washindi wa pili Kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kumalizika mchezo wa Fainali a Timu ya Azam jana katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,Azam walitoka kifua mbele klwa 1-0  .
SIMO 8
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabishi Kitita cha Shilingi za Kitanzania Millioni Tano Nahodha wa Timu ya Simba Jonas Mkude  baada ya Mchezo wa Fainali   ya mchezo wa fainali Kombe la Mapinduzi 2017 kati ya  Azam na Simba ambapo Azam walitoka kifua mbele kwa  1-0.
SIMO 9
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwavalisha nishani wachezaji wa Timu ya Azam   baada ya kumalizika mchezo wa Fainali ya Mapinduzi Cup  kati ya Azam na Simba na kutoka 1-0 katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja jana.
SIMO 10
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabishi Kombe la Mapinduzi mwaka 2017 Nahodha wa Timu ya Azam John Bocco jana, baada ya timu hiyo kuifunga Simba kwa bao 1-0 katika mchezo uliomalizika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 14/01/2017.

0 maoni:

Chapisha Maoni