Posted by Esta Malibiche on JAN 5,2016 IN News
Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Ali Abeid Amani Karume,alipokuwa akimkaribisha Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) katika hafla ya Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi
Bandarini ikiwemo Makontena na Mizigo mizito leo,ikiwa ni shamra shamra
za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa
hutuba yake ya Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari
ya Malindi Mjini Unguja leo ikiwemo Makontena ya mizigo mizito,ikiwa
ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri
wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Ali Abeid Amani
Karume,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali
Iddi na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bandari
Bw.Salmin Senga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguj
Mashine
ya Mobile Harbour Crane LHM 280 yenye uwezo wa kunyanyua Tani 64
ikionesha namna inavyoweza kufanya kazi katika kushusha Makontena katika
Meli pia na kupanga sehemu ya kuhifadhia (Container Yard) mara baada ya
Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja
Baadhi
ya wafanyakazi katika Shirika la Bandari wakimasikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Vifaa vipya
vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo ikiwemo
Makontena ya mizigo mizito,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Vifaa
vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo Makontena ya mizigo mizito
inayowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja,leo vimezinduliwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji
Mhe,Ali Abeid Amani Karume,alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini
Unguja katika Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini
ikiwemo Makontena leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,(katikati) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub
Mohamed Mahamoud
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari
Cpt.Abdalla Juma,alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja
katika Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi Bandarini ikiwemo
makontena ya mizigo mizito leo,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

(wa pili kushoto) akipata bmaelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Bandari Cpt.Abdalla Juma,kuhusu utendaji wa Vifaa vipya vya
kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja mara baada ya
Uzinduzi ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar
0 maoni:
Chapisha Maoni