Posted by Esta Malibiche on JAN 31.2017 IN SIASA
Chama cha Mapinduzi ccm Mkoani Iringa kimewataka wanachama kuwaenzi waasisi wa chama hicho kwa vitendo ili kiweze kuendelea kushika dola.
Akizungumza na wanaccm katika sherehe ya uzinduzi wa miaka 40 tokakuzaliwa kwake iliyofanyika katika Manispaa ya Iringa Mkoani Iringa,Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi ccm Mkoa Jesca Msambatavangu alisema toka chama cha Mapinduzi kianzishwe tarehe 2.februari 1977,ccm inaendelea kushika atamu kutokana na misingi bora iliyowekwa na waasisi wa chama hicho,hivyo haina budi wanaccm kuenzi kwa vitendo kwakukitumikia chama kwa uadilifu.
Katika sherehe hizo watu 120 wamejiunga na chama cha Mapinduzi wakiwemo vijana 20 waliochukua kadi huku wakiahidi kutoa ushirikiano ndani ya chama na kuwahamasisha wananchi ili kiweze kuendelea.‘’’Ingawa tuko katika mfumo wa vyama vingi ,lakini tunaendelea kupambana na kuhakikisha ccm inaendelea kushika dola’’’alisema Msambatavangu.
Awali akisoma historia ya chama cha Mapinduzi tangu TANU na ASP katibu wa chama cha Mapinduzi Ccm wilaya ya Iringa Mjini Nuru Ngereja alisema kuwa Chama cha Mapinzi ccm muungano wa TANU na ASP ndio uliwezesha ccm kuwa chama chenye nguvu,imara na madhubuti,hivyo kuwa chama cha siasa pekee chenye uwezo wa hali ya juu wa kuwaunganisha watanzania.
Ngereja alisema kuwa chama cha Mapinduzi ccm kimeweza kuwaongoza wananchi katika mapambano ya kitaifa ya uchumi,kisiasa na kijamii kufuatana na mabadiliko mbalimbali yanyojitokeza ndani ya na nje ya nchi.
‘’’’Chama cha Mapinduzi Ccm kimeendelea kupewa dhamana na wananchi ya kuunda serikali na kukamata dola tangu mwaka 1977 chini ya mfumo wa demokrasia ya chama kimoja hadi sasa katika mfumo wa demokrasia ya vyama vingi,kufuatia mageuzi yaliyoidhirishwa na demokrasia ya katiba ya Jamhuri ya Tanzania Juni 1992’’’’’’’Alisema Ngereja .
Alisema wananchi na wanachama cha Mapinduzi wanapaswa kufahamu historia ya ccm tangu TANU na ASP ili kuelewa chama chama kilikotoka ,kilipo hivi sasa na kinakoelekea.
''''Historia ya nchi yetu haiwezi kukamilika bila kujua historia ya vyama vilivyopo,hivyo ni wajibu wa watanzania hasa wanachama wa chama cha Mapinduzi ccm kujifunza kutokana na historia hiyo.
Alisema kuwa Pamoja na kwamba Chama cha Mapinduzi Ccm kuwa kilizaliwa rasmi tarehe 5 Februari,1977,chimbuko lake linaanzia miak mingi kabla,sambamba na historia ya uhai wa taifa la Tanzania.Mizizi ya historia ya ccm imo ndani ya harakati za kukataa ukolomi na usultani,zilizofanywa na wananchi wa Tanzania.
Aidha aliongeza kuwa katika kuelekea kilele cha maadhimisho hayo ya miaka 40, ccm wilaya ya Iringa imejipanga kujenga ofisi ya chama ya kata katika tawi la kitwiru,Ofisi ya tawi Ruaha pamoja ofisi ya tawi kigamboni.Pia amewataka wanaccm na wananchi kwa ujumal kushiriki kikamilifu na jumuiya kutekeleza kazi walizojipangia.
Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela alitoa pongezi kwa chama cha Mapinduzi kwa kuadhimisha miak 40 huku kikiwa madarakani toka kuzaliwa kwake.
''''Sisi sote tunashuhudia utendaji mzuri wa serikali ya awamu ya tanopamoja na awamu zilizopita jinsi zinavyofanya kazi vizuri huku zikitekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi'''alisema kasesela
Kasesela aliwataka viongozi wa serikali ya mtaa na vijiji kufuatiliana kukagua shughuli za maendeleo zinazofanywa na serikali ikiwanipamoja na kuhakikisha wananchi wanasimewa mapato na matumizi.
Aidha aliwasisitiza viongozi hao kuahkikisha wanatoa Elimu kwa
wananchi juu ya kuwalinda watoto ili wasiweze kufanyiwa vitendo vya ukatili.
MWISHO

0 maoni:
Chapisha Maoni