Posted by Esta Malibiche on JAN 18,2017 IN NEWS
Mkuu wa wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Festo Kiswaga akitoa maelekezo katika shamba litakalotumika katika kilimo cha umwagiliaji,lililotengwa kata ya mwasubuya wilaya ya Bariadi. |
Mkuu wa wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Festo Kiswaga akitoa maelekezo katika shamba litakalotumika katika kilimo cha umwagiliaji,lililotengwa kata ya mwasubuya wilaya ya Bariadi. |
Mkuu wa wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu Festo Kiswaga ametembelea eneo la shamba,kwa lengo la kukagua shamba litakalotumika kwa ajili ya Kilimo cha umwagiliaji katika kata ya mwasubuya wilaya ya
Bariadi.
Eneo hilo lenye ekari zaidi ya 500,limetengwa kwa ajili ya kilimo cha mpunga.
Kiswaga akiwa katika eneo hilo mapema leo hii amesema kuwa zaidi ya 500 zitamwagiliwa kwa Kilimo cha mpunga, na aina ya mbegu ni salo 5.
0 maoni:
Chapisha Maoni