Naibu Wziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina alipokuwa akifanya
ziara ya kukagua mazingira katika shule ya secondary Tusiime iliyopo
tabata jijini Dar es salaam mara baada ya kupata malalamiko kutoka kwa
wananchi ya utililishaji maji taka kwenye makazi ya watu kutoka shuleni
hapo.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina (katikati) akipata
maelezo ya jinsi gani mfumo wa utililishaji maji taka unavyofanya kazi
katika shule ya secondary Tusiime.
Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya
Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akizungumza na
waandishi wa habari mara baada ya kuipiga faini ya million kumi shule ya
secondary Tusiime iliyopo Tabata jijini Dar es salaam kwa uchafuzi wa
mazingira
0 maoni:
Chapisha Maoni