Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla akipokelewa wakati wa kuwasilia kwenye kanisa hilo la Victorious Church of Tanzania kufunga kongamano la siku nne la Kimataifa la Shiloh 2016, mapema leo Agosti 14.2016
DSC_5487
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla akipokea maua ya ukaribisho
DSC_5495
Kiongozi Mkuu wa Kanisa hilo la Victorous Church of Tanzania, Bishop Elis Musa Chessa akimtambulisha Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla wakati akiwasili kanisani hapo kwa viongozi wa dini na wageni waalikwa
DSC_5499 DSC_5502

DSC_5504

DSC_5511

DSC_5525
Baadhi ya waumini wakipiga makofi kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa kuingia ukumbini
DSC_5526

DSC_5528
Kiongozi Mkuu wa Kanisa hilo la Victorous Church of Tanzania, Bishop Elis Musa Chessa akitoa neno la shukrani katika tukio hilo
DSC_5530
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla katika kongamano hilo.
DSC_5536
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla akitoa neno la shukrani wakati wa kufunga rasmi kongamao hilo la Shiloh 2016
DSC_5540
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla akitoa neno la shukrani
DSC_5565
Zoezi la kuwafariji Wamama Wajane likiendelea
DSC_5568
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla akiwafariji baadhi ya Wanamama Wajane
DSC_5580

DSC_5598
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja na Kiongozi Mkuu wa Kanisa hilo la Victorous Church of Tanzania, Bishop Elis Musa Chessa  nyuma ni baadhi ya Akina mama Wajane waliofarijiwa wakati wa kongamano hilo 
DSC_5599 DSC_5601

DSC_5609
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla akitoa salamu kwa Akina mama hao
DSC_5632
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla akiondola baada ya kumalizika kwa kongamano hilo
DSC_5636 DSC_5639Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza machache kwa wanahabari (Hawapo pichani) wakati wa kongamano hilo.