Posted by Esta Malibiche On August 8.2016
Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B”
(kulia) Silima Haji Haji akimkaribisha Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi
Ayoub Mohammed Mahmoud katika sherehe ya kumpongeza kuchaguliwa kuwa
Mkuu wa Mkoa.
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub
Mohammed Mahmoud akisalimiana na Mkuu wa Wiliya Mjini Bi. Marina Joel
Thomas (katikati) aliekuwa Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi
Khamis.
Sehemu ya walikwa katika sherehe ya kumpongeza Mkuu wa Mkoa Mjini Ayoub Mohammed Mahmoud na kuwaaga wafanyakazi waliostaafu.
Sehemu ya walikwa katika sherehe ya kumpongeza Mkuu wa Mkoa Mjini Ayoub Mohammed Mahmoud na kuwaaga wafanyakazi waliostaafu.
Picha ya pamoja
0 maoni:
Chapisha Maoni