postedy by Esta Malibiche on August 8.2016 in KITAIFA with No comment
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapungia wananachi wakati lipotembelea maonyesho ya wakulima
Nanenane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya Agosti 8, 2016.
Kushoto kwake ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifurahia picha yake iliyochorwa na kutolewa kwake na Chama cha
Wandishi wa Habari za Utalii na Uwekezaji Tanzania mkoani Mbeya (TAJATI)
katika kilele cha sherehe za Maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye
uwaja wa wa John Mwakangale jijini Mbeya Agost 8, 2016. Watatu kulia
kwake ni mkewe Mary na wapili kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos
Makalla. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya viongozi waliohudhuria
kwenye kilele cha Maonyesho ya Wakulima Nanenane katika uwanja wa John
Mwakangale jijini Mbeya wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
wakati alipohutubia Agosti 8, 2016. (Picha
Baadhi ya viongozi waliohudhuria
kwenye kilele cha Maonyesho ya Wakulima Nanenane katika uwanja wa John
Mwakangale jijini Mbeya wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
wakati alipohutubia Agosti 8, 2016. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
Baadhi ya viongozi waliohudhuria
kwenye kilele cha Maonyesho ya Wakulima Nanenane katika uwanja wa John
Mwakangale jijini Mbeya wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
wakati alipohutubia Agosti 8, 2016. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
mkewe Mary (kulia) wakikagua vipando vya alizeti katika eneo la banda la
Chuo cha Kilimo cha Uyole kwenye maonyesho ya wakulima Nanenane
kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya Agosti 8, 2016. Kulia
kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla. (Picha na Ofisi ya waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akionyesha karoti zilizostawi vizuri wkati alipotembelea banda la
Mapanda Mkoani Katavi katika maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye
uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya Agosti 8, 2016. Kulia kwake ni
mkewe Mary.(Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama vitunguu vilivyopandwa kwenye gunia namna ya kilimo ambacho
ni muafaka kwa watu waishio mijini hasa magorofani. Alikuwa akitembela
maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye uwanja wa Maonyesho wa John
Mwakangale wa jijini Mbeya. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
mkewe Mary wakipata maelezo kuhusu jiko banifu kutoka kwa mkuu wa
wilaya ya Nkansi, Saidi Mtanda (kushoto) kuhusu jiko banifu
lililobuniwa na kutengenezwa na Samuel Msigale (watatu kulia) ambaye
ni mjasiliamali kutoka Nkansi mkoani Rukwa. Alikuwa kitembelea
maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye uwanja wa maonyesho ya wakulima
Nanenane wa John Mwakangale Agosti 8, 2016. (Picha na Ofisi ya waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Mkewe Mary (kulia kwake) wakikagua vipando vya kabeji wakati
walipotembelea banda la Magereza kwenye maonyesho ya wakulima Nanenane
kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya Agosti8, 2016. (Picha na
Ofisi ya waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
mkewe Mary wakitazama jiko banifu linalotumia gesi ya pumba wakati
alipotembelea banda la Magereza kwenye maonyesho ya Wakulima Nanenane
katika uwanja wa John Mwakakangale jijini Mbeya Agosti 8, 2016.
(Picha na Ofiasi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akizungumza na askari magereza wa mkoa wa Mbeya baada ya kutembelea
banda lao kwenye maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye uwanja wa John
Mwakangale jijini Mbeya Agosti 8, 2016. Kulia ni Mkuu wa Magereza mkoa
wa Mbeya Julius Sang’unda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
mkewe Mary wakiwa katika picha ya pamoja na vijana wa kujitolea kutoka
Uingereza ambao Agosti 8, 2016 walitembelea maonyesho ya wakulima
Nannane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya. (Picha na Ofisi
ya wairi Mkuu)
0 maoni:
Chapisha Maoni