Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ngao ya Ushindi wa pili katika kundi
la Taasisi na Mashirika ya serikali na yasiyo ya serikali, Mkuu wa
Magereza wa Mkoa wa Mbeya, Julius Sang’unda wakati alipofunga Maonyesho
ya Wakulima Nanenane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya
Agosti 8, 2016. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla na
wapili kulia kwake ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson. Kulia ni
Mwenyekiti wa TASO wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Crispin Mtono .
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ngao ya ushindi wa tatu katika kundi
la Taasisi na Mashirika ya serikali na yasiyo ya serikali, Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Mpango wa Uendelezaji Kilimo katika Eneo la Ukanda wa
kusini mwa Tanzania (SAGCOT), Geofrey Kirenga wakati alipofunga
Maonyesho ya Wakulima Nanenane kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini
Mbeya Agosti 8, 2016. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos makalla
na wapili kulia kwake ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson.
Kulia ni Mwenyekiti wa TASO wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Crispin
Mtono.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 maoni:
Chapisha Maoni