Posted by Esta Malibiche on Oct7.2016 in KITAIFA
Mbunge wa Chalinze akijadili jambo na Mwenyekiti wa Ccm Kata ya Bwilingu katika mkutano wa wananchi wakati wa maafali ya darasa la saba katika shule ya msingi kibiki ambapo wanafunzi 76 wamehitimu. |
Wahitimu wa shule ya msingi kibiki wakicheza katika maafali yao. |
Baadhi ya wahitimu na wananchi wakifatilia kwa makini matukio katika maafali hayo. |
Wahitimu wa shule ya msingi kibiki wakicheza wakati wa maafali hayo |
0 maoni:
Chapisha Maoni