Sang Hyun Rais wa Kampuni ya Chan Ltd ya Korea
kulia na Bw. Cliford Tandali Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji
Tanzania wakisaini mkataba wa makubaliano ya kibiashara katika masuala
ya teknolojia ya mawasiliano katika michezo ya bahati nasibu.
Mkataba huo wa awali wa
kibiashara unaofahamika Kama Memorandum of Understanding(MOU) na kampuni
kati ya TIC na Kampuni ya Chan Ltd ya Korea kusini kuhusiana na
masuala ya mawasiliano ya kitengo cha Bahati Nasibu umesainiwa leo
asubuhi jijini Dar es salaam, ambapo kampuni hiyo itaanzisha mfumo wa
teknolojia ya juu katika masuala ya mchezo wa bahati nasibu.
Viongozi hao wakijadiliana jambo mara baada ya kusainiana mkataba huo.
0 maoni:
Chapisha Maoni