Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiq pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi wakitia saini hati ya
makabidhiano ya jengo la Bwalo la chakula katika shule ya sekondari ya
Mwika jana wilayani Moshi,Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa Tanapa
kwa kushirkiana na Halmashauri ya wilaya ya Moshi pamoja na nguvu za
wananchi ambapo jumla ya kiasi cha Sh Mil 186,494,890 zimetumika..
Baadhi
ya Wanafunzi katika shule ya sekondari ya Mwika wakiwa katika hafla
fupi ya makabidhiano ya jengo la Bwalo kwa ajili ya Chakula.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi
hati ,Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiq baada ya saini hati ya
makabidhiano ya jengo la Bwalo la chakula katika shule ya sekondari ya
Mwika jana wilayani Moshi,Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa Tanapa
kwa kushirkiana na Halmashauri ya wilaya ya Moshi pamoja na nguvu za
wananchi ambapo jumla ya kiasi cha Sh Mil 186,494,890 zimetumika..
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiq akizindua jengo la Bwalo la
chakula katika shule ya sekondari ya Mwika jana wilayani Moshi,Jengo
hilo limejengwa kwa ufadhili wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa
kushirkiana na Halmashauri ya wilaya ya Moshi pamoja na nguvu za
wananchi ,ambapo jumla ya kiasi cha Sh Mil 186,494,890 zimetumika.kulia
ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan
Kijazi
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiq akizungumza mara baada ya
kuzindua jengo la Bwalo la Chakula katika shule ya sekondari ya Mwika
lililojengwa kutokana na msaada wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)
.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza
wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya jengo la Bwalo la kulia chakula
kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mwika.
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) Betrita Loibooki akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Jengo la Bwalo la Chakula katika shule
ya sekondari ya Mwika lililojengwa kwa msaada wa Shirika la Hifadhi za
Taifa (TANAPA) kwa ushirikiano na Halmashauri ya wilaya ya Moshi pamoja
na wananchi.
0 maoni:
Chapisha Maoni