Katika
hali isiyokuwa ya kawaida, ndege ya Shirika la ndege ya Emirates
imewaka moto baada ya kushindwa kutua ipasavyo wakati ikiwasili katika
uwanja wa ndege wa Dubai ikitokea India.
Ndege
hiyo aina ya Boeng 777 yenye namba EK521 ilikuwa na watu 300, 282
wakiwa ni abiria na 18 wakiwa ni wafanyakazi wa ndege na watu wote
wanaripotiwa kuwa wazima.
MO Blog imekuandalia picha kuona jinsi tukio hilo lilivyotokea wakati ndege hiyo inawasili Dubai kutoka India.
0 maoni:
Chapisha Maoni