Postedy by Esta Malibiche on August 11.2016
Naibu Katibu Mkuu
anayeshughulikia Madini Profesa James Mdoe ametembelea mnada wa Madini
ya Tanzanite yaliyochimbwa kutoka migodi ya Kampuni tano za
wafanyabiasha wa madini hayo ili kuona utaratibu unaotumika kuwapata
washindi wa zabuni za kununua madini ya hayo wakati wa mnada.
Mnada huo unatarajia kufanyika
Agosti 12 mwaka huu na unafanyia Tanzania kwa mara kwanza; Vilevile
watakaoshinda zabuni za kununua madini ya hayo watatangazwa wakati wa
mnada.
Mnada huo umeshirikisha wafanyabiashara wa Madini wa ndani na nje ya Tanzania.
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia
Madini Profesa James Mdoe ametembelea mnada wa Madini ya Tanzanite
yaliyochimbwa kutoka migodi ya Kampuni tano za wafanyabiasha wa madini
hayo ili kuona utaratibu unaotumika kuwapata washindi wa zabuni za
kununua madini ya hayo wakati wa mnada.
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulika
Madini wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa James Mdoe ( kushoto)
akionyeshwa namna ya kutambua ubora wa jiwe la Tanzanite na Mkurugenzi
wa Uthaminishaji na Almasi na vito Tanzania( TANSORT) Archard Kalugendo(
kulia)
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulika
Madini wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa James Mdoe ( kushoto)
akionyeshwa namna ya kutambua ubora wa jiwe la Tanzanite na Mkurugenzi
wa Uthaminishaji na Almasi na vito Tanzania( TANSORT) Archard Kalugendo(
kulia)
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulika
Madini wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa James Mdoe akitazama
ubora wa jiwe la Tanzanite kupitia kifaa maalim.
Mkurugenzi wa Uthaminishaji na
Almasi na vito Tanzania( TANSORT) Archard Kalugendo(
kushoto)akimuonyesha Naibu Katibu Mkuu anayeshughulika Madini wa Wizara
ya Nishati na Madini, Profesa James Mdoe(katikati) Madini ya Tanzanite
yaliohifadhiwa katika vyombo maalum kabla ya kupigwa mnad
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulika
Madini wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa James Mdoe( kushoto
)akizungumza na baadhi ya wauzaji wa Madini ya Tanzanite, Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya VGL Group ,Sunil Agrawal( kulia), na Mmoja wa
Wakurugezi wa Kampuni ya TanzaniaOne, Rizwan Ullah ( wa pili kulia)
wakati wa mnada wa Madini ya Tanzanite mkoani Arusha.
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulika
Madini wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa James Mdoe( kushoto)
akionyeshwa upimaji wa uzito kwa mawe ya Tanzanite yaliokatwa na
Mkurugenzi wa Uthaminishaji na Almasi na vito Tanzania( TANSORT) Archard
Kalugendo( kushoto)
Afisa kutoka Wizara ya Nishati na
madini kitengo cha Tehama,Danford Phiri( kushoto) akimueleza Naibu
Katibu Mkuu anayeshughulika Madini wa Wizara ya Nishati na Madini,
Profesa James Mdoe( kulia) mfumo mpya wa Kompyuta utakaokuwa ukitumika
kuwapata washindi wa zabuni za kununua Madini ya Tanzanite wakati wa
minada.
0 maoni:
Chapisha Maoni