Ijumaa, 12 Agosti 2016

NAIBU WAZIRI MAVUNDE ATEKELEZA AHADI YAKE


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana na Ajira Anthony Mavunde,Mbunge wa Dodoma Mjini,akiwa na wananchi akisaidia kupanga matofali. 

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana na Ajira Anthony Mavunde ametekeleza ahadi yake katika kijiji cha Chiwondo kata ya Nala,ya kusaidia ujenzi wa shule ya msingi katika kijiji hicho,ambapo watoto utembea kilimita 8 kwenda shule za jirani.

Aidha Mavunde amesaidia katika kuchimba msingi na kukusanya matofali na wananchi wa kijiji hicho na kuchangia mifuko 100 ya saruji kwa hatua za awali katika ujenzi wa shule hiyo ya msingi.


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana na Ajira Anthony Mavunde kichimba msingi.



Picha za matukio mbali mbali za Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana na Ajira Anthony Mavunde  akiwa katika kijiji cha Chiwondo kata ya Nala, Mkoani Dodoma akisaidia ujenzi wa huo.

0 maoni:

Chapisha Maoni