Mabingwa
wa mashindano ya Euro 2016, timu ya taifa ya Ureno wamewasili katika
ardhi yao ya nyumbani na kupokelewa kwa heshima na mashabiki lukuki wa
soka katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Lisbon.
Ureno
imeshinda kombe hilo baada ya kuifunga timu ya Ufaransa goli 1-0, goli
lililofungwa katika kipindi cha pili cha dakika 30 za nyongeza na kiungo
Dier.
Mo Blog imekuandalia picha 10 jinsi Ureno ilivyopokelewa.
0 maoni:
Chapisha Maoni