Mkuu
wa wilaya ya Longido Bw. Daniel Chongolo (wa tatu kulia) akikabidhi
zawadi za Idd kwa Masheikh wa misikiti ya mji wa Namanga na Longido
mjini wilayani Longido leo,mkoani Arusha. Mh Chongo amekabidhi zawadi
hizo kwa misikiti 6 iliyopo wilayani Longido mapema leo.
Mkuu wa wilaya ya Longido
mkoani Arusha Bw. Daniel Chongolo akikabidhi zawadi za sikukuu ya Idd
kwa Masheikh wa Misikiti ya Namanga na Longido mjini leo. Mkuu huyo wa
wilaya pia ametumia nafasi hiyo kujitambulisha kwao.






0 maoni:
Chapisha Maoni