Jumamosi, 9 Julai 2016

DC MPYA WA MANYONI MKOANI SINGIDA,MWAMBE GEOFREY ALA KIAPO




By  Esta Malibiche on   Mwambe Idelphonce Geoffrey

DC mpya wa Manyoni mkoani Singida, Mwambe Geoffrey
Mkuu wa wilaya ya Manyoni, Mwambe Geoffrey akikabidhiwa nyaraka na RC Singida baada ya kiapo
Mkuu wa mkoa wa Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe (kulia) akimkabidhi nyaraka zenye miongozo ya uwajibikaji, Mkuu mpya wa Wilaya ya Manyoni, Mwambe Idelphonce Geoffrey.(Picha na Nathaniel Limu)

Maoni 1 :

  1. Hongera sana kaka Mwambe. Kachape kazi sasa tunakuamini

    JibuFuta