Matukio katika picha za Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye katika ufunguzi wa mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu kwenye hafla fupi iliyofanyika viwanja vya Hotel ya Southern Sun Jijini Dar es Salaam.
Mhe. Nape Moses Nnauye
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipokea zawadi ya maua mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Hotel ya Southern Sun Jijini Dar es Salaam kufungua mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akifurahi jambo pamoja na Rais wa Automobile Association of Tanzania Bw. Nizar Jivani(Kulia), Kaimu Katibu Mkuu Baraza la Michezo la Taifa(BMT) Bw. Mohamed Kiganja (wa tatu kulia) wakati wa ufunguzi wa mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
Rais wa Automobile Association of Tanzania Bw. Nizar Jivani
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akitambulishwa kwa baadhi ya madereva wa mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) na Rais wa Automobile Association of Tanzania Bw. Nizar Jivani (Kulia) mashindano hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
Mheshimiwa Nape
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akijadiliana jambo na Rais wa Automobile Association of Tanzania Bw. Nizar Jivani (Kulia) wakati alipowasili katika ufunguzi wa mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
Nizar Jivani
Rais wa Automobile Association of Tanzania Bw. Nizar Jivani akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) iliyofanyika katika viwanja vua Hotel ya Southern Sun Jijini Dar es Salaam mashindano hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
Mh. Nnauye
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
Nape Nnauye
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa ameweka bendera tayari kwa ajili ya kuruhusu magari kuondoka katika viwanja vya Hotel ya Southern Sun Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kufungua rasmi mashindano ya magari ya Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
East African Classic Safari Rally
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa amenyanyua  bendera kuruhusu magari kuondoka katika viwanja vya Hotel ya Southern Sun Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kufungua rasmi mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
Kaimu Katibu Mkuu Baraza la Michezo la Taifa(BMT) Bw. Mohamed Kiganja
Kaimu Katibu Mkuu Baraza la Michezo la Taifa(BMT) Bw. Mohamed Kiganja akiwa katika moja ya magari yatakayotumika katika mshindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
Waziri Nape
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa katika moja ya magari yatakayotumika katika mshindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
Azam media sponsiring East African Classic Safari Rally
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akitoa zawadi ya tunzo kwa mwakilishi wa Azam media mmoja wa wadhamini wa mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) mashindano hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
East African Classic Safari Rally Uganda team
Moja ya timu  kutoka Uganda wakisubiri kufunguliwa kwa mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
pix 13 a
Baadhi ya magari yakitoka katika viwanja vya Hotel ya Southern Sun Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kufunguliwa rasmi mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.(Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM).
pix 14