Waziri
wa Afya Zanzibar, Mh.Mahmoud Thabit Kombo amekutana na viongozi wa
Jimbo la Kiembe Samaki kwa namna ya kuwapongeza na kutoa mkono wa
Sikukuu ya Eid iliyoanza jana.
Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na viongozi wa Jimbo la Kiembe Samaki kabla ya kutoa mkono wa Eid
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akimkabidhi mkono wa Eid, katibu wa Wadi ya Kiembe samaki Bi. Zainab Ali Suleiman.
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akimkabidhi fedha mkono wa Eid, katibu wa Wadi ya Kiembe samaki Bi. Zainab Ali Suleiman.






0 maoni:
Chapisha Maoni