Jumamosi, 9 Julai 2016

Rais mtaafu Dkt. Jakaya Kikwete atembelea banda la NMB Dar Es Salaam



 Meneja wa banda la Benki ya NMB katika maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam 2016, Josephiner Kulwa  (kushoto), akimkaribisha Rais mstaafu Dk. Jakaya Kikwete  alipotembelea banda hilo Dar es Salaam leo asubuhi.
 Hapa Rais mstaafu Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo.
 Rais mstaafu Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na mmoja wa  wafanyakazi wa benki hiyo

0 maoni:

Chapisha Maoni